Guys this might sound silly buy I think it will help.
I am on my way to community service na nimebeba bag ile yule architect aliniletea na merchandis. Yaani kutoka kenya cinema hadi kwa gari za Umoja bag ishafunguliwa mifuko zote bila mimi kuskia hata kidogo.
Nataka nyoka na scorpions nibebage hapo ndani mtu akifungua zimsort. Aende atafute kazi. Nkt