Looking for some song, pls help..

Kuna song fulani rhumba rhumba kiasi, local inaendanga hivi…

Ule bwana akakufukuza tabia zako mbaya…

Mtu anaijua sema niitafute aje kwa net?

Man or Woman singer? any other leads…
Naiona kwa mbali but akili imekwama kidogo

Migos

Ni ya Mjamaa,

Zile za tene kiasi but haijaizeeka…

julieta

Yess… @isidore thanks, its this Julieta, Naona its by isaya mwinamo… Thanksss all…

Though can’t see the original song…

swaf niko na original somewhere nikirudi huko after elections and erections nitakushtua

Lol… sawa, malizia zote vema kisha tutasemezana ukirudi…

Hey there, @isidore , please share the Julieta song…