Wadau where can i get this Polyurethane foam hapa Nairobi urgently. Thank you.
cc @Makonika
Umetag makanika kwa thread ya jwala
A simple google search will help you.
Ni ya kazi gani, construction/insulation?
I tried that option and Prochemea - Sparko dealers came up but they dont have it in stock.
Insulation
Glue gikomba, sealant foam uchumi ya sarit center,
:D:D:D:D:D:D Uchumi Sarit Center ilifunga kitambo
Mimi apana ishi Nairobi. Sasa ingia pale OLX tafuta foam under construction and building.
Gikomba.
Enda hapo Laxcon Hardware, Ngara.
Sema umetumwa na Baba Omosh.
Asande Sana Baba Omosh I will check there on Friday .