Looking for a pussy in Mombasa

I need a kitten, to replace moja ya jirani nilikanyanga bila kujua, kabla ajue what transpired… Shida hizi za huku kwa kina @Meria Mata unaeza nunua upate ni reincarnation ya @Panyaste ama @Kihii Kiaganu ,iwasumbue hadi mfikirie kuhama a Kenya muende Nyeri.

Enda Casablanca

I need a kitten, to replace moja ya jirani nilikanyanga bila kujua,:D:D

Very misleading header. Na vile nilikuja na slippers niku slap hadi ukumbuke ku park tuktuk hapo Kaa Chonjo vizuri…

Hapana, me niko kadza ndani:D:D

hehe

Sio Mrima Wa Kuku:D:D

Digism inaspread bila huruma huku kijijini