Looking for a part time job

Due to current economical problems caused by hizi siasa za upus job yangu imepungua sana am now working for 3/4 days a week which means pia mshande imepungua.
I can choose to stay indoors in boxers watching movies all day but that would only increase my daily expenses . So leteni suggestion of part time kibarua it doesn’t have to be well payin .wanaume ni kusaidiana

Time is precious …Go back to school.

Wish I had time on my hands… Lakini watoto, wife, mortgage…if only I could take 1 or 2 years

ningekuambia uanze kupiga watu ngeta, laniki wacha tu.
kuna kazi ya kufuga sheppart unataka?

naona @Kirwa na @pamba wameharibu biashara yako, umebakisha tu risasi utuondokee

Tengeza bets uuzie watu.

saidieni if you can, kama hamuwezi pia words of encouragement si mbaya.

@Fala 12 si wewe ndiye last year you were jobless and talkers walikusaidia hadi siku hizi unaweza kunywa Tusker cider na leo wewe unatusi wenye wanataka usaidizi?

Can’t concentrate with books right now

Akuna mtu wa kupiga ngeta.kila mtu analia njaa

jamaa ni self confessed mtu wa ngeta

Security guard from 8pm-5am.

Uber?

@Fala 12 seimon iuu!!!

Masters ama PhD, isn’t education overrated nowadays

Mzito kumbe ulikua unafanya Nakumatt? Uskonde daddy, wewe ni mtu wa pawa niko sure utawai

Look for some online jobs which you can do while at home.

times are tough for getting jobs. A certain chick has been looking for a job hapati. and she has a kid to feed. Jana I called her kumjulia Hali she tells me she has found a job as a security guard and was starting later that evening (night shift). I sympathised with her but I liked that hakuchagua kazi.

https://www.warriorforum.com/main-internet-marketing-discussion-forum/1128729-how-make-10-000-per-day-fast-step-step.html

Forester nirushie game meat…warthog to be specific

Huku labda dik-dik ama swara dorobo walimaliza zote.

Dikdik nililamba ya kutosha budah…it’s long story…chonjoh kaka braza

Ni sawa tu