Lodgings in roysambu

wakubwa,natafuta Lodge pocket friendly in Roysambu area. help a traveller

[MEDIA=facebook]10212556661304263[/MEDIA]

Hizo vitu zimejaa huko all over unless you don’t know how to read.

Learn to help . What if he is really in need

We ata sijui nikusaidie aje

Tumia Google

Pocket friendly kwako ni pesa ngapi kwanza

Enda oldivai githu 44 ama sheraton zimma. Roysambu sioni ukisaidika. pia kuna ingine on your way to kahawa west just past jacaranda iko fiti sana na ilikuwa 1k pekee. The name escapes me though.

na ubebe makobosto hiyo area code si ya watu wa kanisa saana.

@DeliciousShiko see what excites your ho mind? Makobosto et al.

usisahau kubeba kachumbari kama wapenda wali

very mean, just like the geezer in your Avatar

Yani uko kwa thread za jana?