Liverpool hawana haya wakikamua aston villa school boys.

Aston villa school boys today are playing against Liverpool ancestors. Aston villa first team players wako na covid. So villa have fielded under 18s and under 16s. Most of the lads were dropped by their parents.
Klop fielded the ghasias who were rammed 7-2. Ni kama the fascist nazi ako na machungu. He want to reverse the 7-2 score.
Niko nyuma ya hao vijana ya mysa ya Aston villa.

:D:D

zile bao saba walipishwe leo io ujinga iishe…tusonge mbele

would be surprised if villa don’t win

[SIZE=6]

Yaani @Wanaruona unanichukia hadi ukahamia Team Biden last week??? :D:D:D:D:D

[/SIZE]

Alafu umbwa mourinho akilemewa kukamua izo mende wed 13 afutwe kazi turudishiwe pochettino

Ulicheki haka kajamaa yaani kaliruka Team MAGA juu yangu. Ilibaki nimebambika juu alini jazz sana.

Nimesema alinijazz tu sana :

wacha kuharia thread ya soccer fala ii

poch at psg

Hii thread imeshariwa na homosexual, fungua ingine

alaah kutoka lini? sina updates

:smiley: patricia ni doggie …
kuna team za leo ningewekelea odd kubwa bana…wolves na villa kichwa ujinga niliingia ulevi saa tisa:D si kuwekelea

Haiya. Mluhya ati juu sasa huyo Biden wenu ameshinda unaona uanze kuongea mbaya? Mimi nitakusumbua urudi kwenu Vihiga. Keino wewe.

kitamboooo

Thread ya @Wanaruona inakuwaga ni umeffi tupu. Tena bibi yake @kanguthu akishaingia waanze kuchapana masnogi… washavuana nguo… washapanda juu ya meza… washaanza kudinyana…

Issa mess.

The Wolves game is way better Adama anahangaisha ma ghassia

Mourinho zile juju zake spurs hazita fanya…atembeze kiyambis na ii season moja

gathee kanguthu nmetumia yeye jug mbili…huyo mpaka kesho wachana na yeye ana tingiza kiyambis na nyimbo za kamarù huko ndumbo~ini

Bayern inafungwa cheap goals.

Liverpool has scored 3 goals in 5 minutes, maaajabu :eek: