Lived by the bullet, Died by the bullet ..but had to be buried as a land seller

[ATTACH=full]123787[/ATTACH]
[ATTACH=full]123786[/ATTACH]

christina mama, limpopo musa juma

1 Like

Everyone has a rotten underbelly and its “un-African” to speak I’ll of the dead. Anyway the family were not far away from the truth bearing in mind mwane was among the contracted to guard kirimas property in Eastlands.

Niaje karis. I need interpretation.

translation please

Uyo ni ule kijana alilishwa copper na akina @pamba

1 Like

Aliuliwa na dengu katika pilkapilka ya kupanda mbegu ya 310:D

3 Likes

Very useless ata haja acha mtoto moja… Ama mtasema mtoto wa nyoka ni nyoka

Ate Khwat? Nikipata maiti yake naikojolea kwa mdomo, aende akinukanga mkojo yangu.

Marehemu alizaliwa Embakasi mwaka wa 1994.
Alikuwa second born to those named there.
Akaenda nursery hiyo shule imeandikwa hapo 1998 alafu akaenda secondary school inaitwa Dedan Kimathi memorial.
Baadaye after secondary akaenda college ya kupeleka magari na baadaye Akaanza kufanya kazi ya kuuza mashamba ambayo amefanya Hadi Kufa kwake akiwa na umri wa miaka 23.

God gives, God takes.
Rest in peace our son

8 Likes

Heheee kupeleka magari wapi?

2 Likes

That might be what he told the family he was doing anyway.

1 Like

Aliwacha mtoto Tena wa kijana.

Its sad what he put his family through!

2 Likes

Kikikikkkk…
Sawa basi: KUENDESHA MAGARI.

1 Like

Nilipost hii lini ?

1 Like
3 Likes

Unataka upewe trophy sababu ya kupost mbele?

Hii utoto itamaliza vijana, alishindwa kwenda nanyuki atulize one year watu wasahau.

Si alikuwa amezaa na ile ratchet ingine iliuwawa huko Chokaa? The socalled sexiest female gangster.