Lipa na Mpesa..Till no

wadau nina swali nyeti…nimeenda luthuli kubuy mbulu but one thing nlinotice na biz za walach ni karibu wote hawana paybill or hawataki story na kulipa na till…unlike my african people most wamebuy hio idea ya payment na till juu its convinient for customers…same story when nlienda isich waafrika tu ndio wanakubali till and stuff…is it that hawa walach washaambiwa mtara ya kulipa tax in future ama?like gava wanaeza access different biz thru safcom wajue nani halipi tax so kunavile mawalach wanachorea hio fom.?

hii ndiyo nini kijana?

screen babaa

I have noticed warias prefer “send money”.

Somalis like Wahindis are tax evaders .They eschew leaving digital footprints of their financial transactions .

They are always trying to evade everything Kenyan yet they are in Kenya

Mi huona guys wanakimbilia lipa na mpesa na till nacheka tu…

Any funds received there is deemed business revenue. KRA won’t even need to come to your shop, they’ll get records from safcom and get the total sales, assume a figure for cash sales …halafu wamalize story

Utapigwa hata penalty

Wewe weka hizo till na lipa na mpesa ndio uringe that your business is big mwishowe ufirwe Bila lube ama maji

Hawana documents

Uko na point msomali

Wengine wanaweka kwa paybill ya personal bank accounts zao,utajuaje ni payment for the sale of a product. Mtu atasema amewekewa pesa ya matumizi.

[SIZE=5]

Nani kwa hii website hutumia jina ‘wadau’ except for one @uwesmake ???

@uwesmake you are getting old and careless.[/SIZE]

Kinyesi ya punda.

Ata Till Number si lazima ikuwe ni ya biashara… Hawawezi kuja tu ivo waseme hulipi tax… Lazima wachunguze wajue kama ni biashara

Staff wa safaricom huiba data ya customers na wanajua ile biz iko profitable, zile time customers huwa wengi, tribe gani ina customers wengi, vitu mingi, so io data wanaeza itumia kukupiga competition

Mtu halipi tax saa hizi ni pesa za bure if you report them to KRA. Nani hapendi pesa hapa?

Report hizo ghasia upate kibunda cha pesa.

The prefer you withdraw from an agent…

I do this

Went to some Indian wholesalers.
Hakuna Till or paybill.
You send money to their African Assistants.
Clever and escaping KRA.

KRA humbwer ghasia we know your handwriting.

Pesa ya matumizi from different person. That till number ikiwa na more people paying to it. KRA will know it is random people buying goods.