Lies that your parents or older siblings told you

Of course, they were all in good faith. What did your parents or older siblings tell you? Do you still believe them?

Me niliambiwa:

  1. Don’t eat fruit seeds. Zitamea kwa tumbo zitokee kwa kichwa
  2. Don’t whistle at night, unaita nyoka
  3. Ukirusha mawe juu haiwezi rudi chini (never worked)
  4. Waganda are cannibals
  5. Hahahahaha. Ati ukieka bag kando ya bed umelala “Baba Kristmas” anakuletea zawadi. I’m still waiting.
  6. Ukikula liquid oil kibao kwa food, itatokea kwa rectum kama river. Still scares me to date.
  7. Of course sote tulidanganywa ati tukilala we would grow taller.

Sema zako.

of course ukikula mafuta mob utapupu tu hio mafuta ever tried eat alot of coconut?

in case of a tummy ache, “lalia tumbo”.

:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

more like kaa ngumu

Ungeanza na hii; “watoto hununuliwa kwa duka” Dafaq??!!

Sleeping is actually a key ingredient to growing taller.

Genetics+Nutritional factor+ Quality sleep= grow taller

Ukipatiwa lift na mtu haujui utaenda kukatwa ulimi

:D:D:D:D:D pale kwa ukirusha mawe juu…kwani hungeenda nje ufanye physics??

He was stupid then…

Ukitembea nje usiku utapatana na mútheca itu

‘Maid ni relative wetu’ - Kucheswo proper

Ukipiga ponyetho utakuwa na pimples and eventually go blind…(wisdom from my dads bro staying with us)

That I am clever … :frowning:

Ukishuta mbele ya nguruwe itakushambulia ikukukule

Ukimeza mbiginjii tumbo itashikana

the blue flame in a rubbish fire - tumeseme utupe battery - ni shetani anajaribu kutoka.
whirlwinds ni devo akipita

if you look in the mirror at night utakuwa kinyambis…

Are you sure this is not fukin tru?

Jua ikiset in the west jioni baadaye hurudi haraka haraka at midnight to the east ndio it rises again in the morning

Uliambiwa hivyo pia?

What is the bloody point of all these?