Arsenal Bournemouth GG
milan udinese over 2.5
real madrid 1 or 2
barcelona x or 2
napoli over 2.5
and we close with 5 odds
Arsenal Bournemouth GG
milan udinese over 2.5
real madrid 1 or 2
barcelona x or 2
napoli over 2.5
and we close with 5 odds
aaaaaaaargh…si tumesema watu waweke mambo ya betting kwa thread moja?
fuata constitution thread moja…
Wameambiwa wanawekaga bets but hautawahi ona wakiweka what they won.
Nafungua thread yangu at kick off, brace yourself bruh.
do you guys ever win? put your betslips with winnings in them so that we know its true
Wewe huoni hii ni category ya betting?
i’ll be in the arena then, i don;t care…
@Deorro - sioni…
Huyu mzae analeta udictator apo. One thread itakuwa too cumbersome to follow.
enjoy yourselefs…
Hii yako imeuma nje vibaya sana