Leo ni wapi...

Talkers where are we unwinding the day today?

Surba mbili check :heart:
Location still searching…

Bt around buru shoppy!

Happy Hour Artcaffe Yaya!

1 Like

Leo niko ol kalou matembezi naona ni kuzuri kwa road trip za cheki maneno

1 Like

utauziwa kroisanti?

1 Like

Kejani…

K1 mbuzi ya kizungu ndio zetu.

1 Like

Leo wale watapitisha saa tano kwa ma-localas watastajabu ya Musa
dont say you were not warned

4 Likes

Jabaration

Ni story za alcoblow

he he, the fish in river tana have a party tonight…

Explain please

Hapana…cocktails tu za phobe.

leo niko matanga
i lost my uncle
cheki standard pg 54
RIP uncle

Kuna crackdown on all bar and clubs
Closing time for Bars 11pm
Night Clubs 3am
Bar owners leo hawana bahati, hawataweza kuhonga ma Karau

Pole.

1 Like

Ate? Wewe ni NTSA?

Is this insider info ama it was announced? Pia natives itafungwa?

1 Like

Our heartfelt condolences…

carnivore!!