Nani wakali wao? Leicester City already one up under four minutes courtesy of a Robert Huth header!
Hii game naona ikiisha draw, la sivyo Man citteh wins
hawa leicester walikula nini moto sana na bado odds zao hazishukangi, leo walikua na odds za 5
Hata Mimi nabashiri sare lakini Leicester City wana moto bwana!
Still early days. Never write off city. They can come back and win this one 3-1.
Ref amelipwa. Amenyima City pena
Nagonjea bao ya city sportpesa wanilipe niende base
nangoja two more goals from anywhere.
half time. Kabet kako sawa.
Mayoooo 2-0
Yep. Hii bet yangu nitakojolea. Niiice
Leicester washinde tu league no denying wako on point
hehehehe tatu bila
waaaah 3-0…who thought of this???
Weekend imeanza vizuri. 4000 pap.
Leicester are breaking very fast and attacking like they are on steroids.
pesa pap
Woooiii… Hawa washenzi hawafungi na wako home… WTF!!
watu wa GG tunawaona
siku ya nyani kufa…6 points clear as we speak…