Legendary lethal Arsenal lineup

[ATTACH=full]448617[/ATTACH]

Viera , midfield ilikua nga’ngari.

[ATTACH=full]448619[/ATTACH]

Assnals

dorobo approves such football team group photos. looks dignified. ile ya line ya kwanza kuinamisha matako inuswe na line ya nyuma sijui hiyo ujinga ilianza mwaka gani.

Gày western media ndio walileta hiyo maneno

i had that jersey blue one, na hio logo ya ,O two , hapo bele , sema mayengs:D:D, legends kabisa.

Wakati huo hatukuwa tunapumua.
Wueh!
Mpaka kwa kanisa ni Arsenali this, Arsenali that…
I loathed it.:mad:
It’s a good thing sikuwa najua watu kama @uwesmake.

Still couldn’t win the champions league.

Mimi EPL side natambua kama the greatest mimi kama arsenal fan natambua MAN United team ya 1999. Players wazito kama Dwight york and Cole…
Nilikuwa na Jersey yao ya red ile imeandikwa Sharp…

[ATTACH=full]448668[/ATTACH]

[SIZE=5]Hii ndio team natambua…[/SIZE]

Kwa sababu ya hio maneno. Sikiliza hio ngoma ya hao maboyz kutoka UK.

The only current team with class in EPL.

Man city, man u waliisha

Vieira was a cheat code

Invincibles

mzee Bergkamp flying Dutchman