Late Lunch 4:32 pm

Hii food ikoje? Am I eating healthy?Wherefore art thou @cuisinier??[ATTACH=full]6070[/ATTACH]

Food haina kanyama,ata kama ni zile za M…si tamu

Hakuna nyama hapo.

ka-protein tu ndiyo kanakosa, hata kama ni lentils ama pulses…

Hio ni breakfast ya mtoto wa three years huko kwetu webuye

5 Likes

Hakuna food hapo, desert.

chakula ndogo sana hiyo, kwani ni ya kuku?

Makondofia na cabbage…I hope you didn’t pay more than 50/= juu utakuwa umechezwa kata

1 Like

[ATTACH=full]6071[/ATTACH]

2 Likes

Nimekutukana “kimya kimya”

wafula semaa tu umekosa matusi

Hahaha!!

@gashwin, hiyo advice yako ni poa. Enyewe the meal is not balanced. I’ll make sure to include some proteins next time.

Kwani bado uko highschool? Wanaume hii tabia ya kuweka Avocado kwa food mtaacha lini?

avocado is one food that is very good for your heart, balls. ask the mexicans why they call it testicle fruit…

I take it before a meal ama way past meals lakini sio with a meal

si ni wahenga walisema kila nyani etc etc…why criticize my and @statham’s way?

Shida iko mtu mzima akikula kama mtoto wa high school

once again it’s a matter of choice- waru doesn’t change from being waru whether chipped, crisped, boiled, roasted, stewed, steamed, mashed and so on and so forth…

1 Like

If I were to take any kind of advice, it would not be from a Mexican. Gustavo Fring taught all the lessons I have to learn.

Matusi niko nayo. Nitapigwa kalamu. :wink: