client anasema budget yake ni 1m. mwaka 1997 to 2002.
kama uko na info saidia.[ATTACH=full]6472[/ATTACH]
1m ni pesa kidogo sana
1 Like
@mayekeke uko wapi?
Sioni ukitoboa, pengine apate ile imebebeshwa maziwa ikaangusha mgongo
Niko hapa, 1M haiwezi, nimeuza moja last week at 4M labda kama anataka Premio mpya I can get him one at that price…
hehe
hataki premio yeye ni msee wa North
mobius bas. Io 1m hawezi pata
Salvage Toyota Cygnus going for 1.5M…
[ATTACH=full]6562[/ATTACH] [ATTACH=full]6563[/ATTACH]
The right hand side seems to have borne most of the impact lakini overall gari haikai mbaya.
waaah mwenyewe nadhani alisuffer ajab