Land For Sale

What? 0.71 acres

Where? Ngong Road,opposite Jafferies Club next to Nakumatt

Price: 160 M Negotiable

Inbox if interested.

Sasa leteni ujuaji na matusi lakini mujue bado plot is for sale na itauzwa no matter what.

am interested, mode of payment/.?

niko na 310,000 sai sai cach money

Halafu balance,utaleta lini?

Mode payment can be agreed upon lakini pesa kwa bank transfer after provision of necessary paper work and authorizations from regulatory bodies

Punguza bei ikue kitu 680k nikupee cash.

nko na bitcoins

naweza lipa na machozi ya @Unicorn ? I hear ni very rare and valuableā€¦

Bora tukubaliane ni kilo ngapi utaleta?

1 Like

:D:D:D

Nitapunguza bei kama utakubali kununua 0.01 acres. Na nitachukua cash. Hakuna mambo ya benki

Le scambag, ogopa huyu mfanyi biachara. Con artist detected

0.01acres si ni 3sq ft, not even enough for a grave. Ifanye at least 20sq ft ndio nikikufa nizikwe hapo.

1 Like

si hiyo pesa inatosha ranch New Zealand?

iko na msitu karibu? mimi napenda vitu zina wanyama wa pori. Kama ndio kujia 350k saa huu

Kwani utazikwo umee??:smiley:

usiseme msitu sema tuacacia tundogo na tushrubs

1 Like

Jafferies haiko James Gichuru?

1 Like

hehe 419 detected