So leo nikaona nitembee shambani, rains still playing poker with the crop (blame NaSa shenanigans for such misfortunes)
Anywho wacha nionje niskie kako vipi, nimepewa exile coz of announcing a chewing marathon tonight.
Uncle Uwes wacha kusumbwa villagers sa zingine. Mara Albino, mara Brazilian Shemale. Enda hapo chini Botswana.
Uta shangaa vile wanawake ni wazito na wame beba mzigo kubwa nyuma. Na hawana mambo mingi ku gawanya slices na roho mzuri.
Una weza kimbya huko na Prado kama beyi ya KQ ni expensive.
Nini mbaya na hiyo brand ?
Mimi na anza na Pilsner kwanza.
Halafu Jameson Irish Whisky, badayee kiasi ni single malt scotch 18+ above, na mwisho na tafuta mfupa slices… ama momo kiazi
Hakuna KTalk birrionair ata nisumbua saa hizo.