1 Like
Better kutumia landcruiser.. last time nilifika pale nilipata jamaa alitupigisha raundi na 7k. Sahi msee akona watu wake akifika pale adai kutumia basi atatumia 2(1500) + 3(1000) = 6000 na atapanda basi ikona watu wanapiga makelele za upuzi wakiona simba moja 500M away. Hasara ilio aje.
@Nubia kuja haribu thread nime post
2 Likes

