[FONT=courier new]Yaani siamini kuna Mdada mmoja tena Mrembo / Mnyange tu nilikuwa naongozana nae barabarani huku Yeye akiwa mbele yangu na cha kushangaza tulipofika katika Pori dogo hivi alitupa mkoba wake haraka sana na akaanza ’ Kuchojoa ’ Nguo zake hasa Chupi na kuanza Kumwagilia Nyasi ( Kukojoa ) pasipo ruhusa ya NEMC na Manispaa mbele yangu wakati nimekaribia na nilidhani labda angeogopa au kunionea aibu badala yake Mimi sasa ndiyo nilimuonea Yeye aibu huku Yeye akikojoa zake mkojo uliokuwa ’ ukitiririka ’ kwa wingi utadhani kuna ’ Leakage ’ ya Bomba la Dawasco na ’ akinikodolea ’ kwa macho makavu kabisa.
[FONT=courier new]Mbona ’ Mikuyenge ’ yetu huwa ’ sometimes ’ wanaibana hadi tunashindwa kuichomoa ’ Mbunyeni ’ Kwao na tuniaishia tu Kujamba na hata Kuukweka / Kunya japo kiduchu / kidogo?[/FONT]
Mkuu,
Urinary system ya mwanamke ni tofauti kidogo na ile ya mwanaume.
Tuangalie tu kidogo sehemu ambayo inahusika na kuruhusu mkojo kutoka au kutotoka, yaani mrija wa kutolea mkojo (Urethra) ambao unabanwa na misuli maalum yaani sphincter muscles.
Kwa mwanamke urethra yake ni fupi sana wakati huo ikiwa ni pana kiasi kwamba kibofu cha mkojo kikijaa mkojo utaanza kuzilazimisha sphincters kuanza kuachia na kwa sababu ya ufupi na upana wa urethra, basi mkojo unaanza kukosa kizuizi na hapo mwanamke asipokuwa makini anaweza akataabika.
Upande wa wanaume urethra ni ndefu kidogo au niseme inaendana na urefu wa mb** na ni nyembamba zaidi hivyo kuwa na unafuu kwenye kubana mkojo.
Lakini pia, kutokana na asili ya misuri ya wanaume na wanawake. Miili ya wanaume wengi ina misuri imara ukilinganisha na ile ya wanawake. Uimara huu wa misuri ya wanaume huwapa nguvu ya kubana zaidi sphincters na hivyo kuwa na uwezo wa kudhibiti zaidi mkojo tofauti na wanawake wengi wwnye miili tipwa tipwa ambao misuri yao haiwezi kubana zaidi ili kudhibiti mkojo kwa mda mrefu.
Ukikutana na wanawake wa mazoezi kama wale wakenya wanaokimbia kila siku kwenye marathoni matatizo kama haya hayawakabili maana misuri yao imekaza hasa!
Mbona tuna uwezo wa kubana mkojo kwa muda mrefu sana, huyo mrembo atakuwa anangonoka na mihogo ndo maana misuli imelegea, Ila kama ni mtu mzima ni sawa kwa sababu ya kuzaa hulegeza misuli
hata wakipata mshtuko kamkojo hutoka, madereva wengi wa kike akilizua barabarani na akasababisha ajali mkojo huchomoka kabla ya machozi, ama akikutana na mkuyange asioutarajia lazma aombe timeout akakoyoe, so mwanamke kukoyola ni kawaida yake, ila hata mwanaume ukibanwa unakoyola popote tuu hasa kukoyolea ukuta huku ukiuchora chora