Kwani Kenyan employees in US Embassy do not pay PAYE tax?

Washukuru Sana wanapata kamshade in dollars, @johntez_addi_gaza_ms amezunguka town yiote usiku mzima na watu amepiga nyongolo ameokota KSHS 235 coz hakuna doo . Tena kina @cortedivoire wanaweka wallet kwa mcoondur wakitembea usiku manze

1 Like

Wakenya wanalipa tax, wao walipe tax.

2 Likes