[ATTACH=full]471338[/ATTACH]
@Benn Dover , unataka tukusaidie aje ?
@Benn Dover mtu wangu kuwa elder mkamilifu peana story yote who the fuck is that nigga
[ATTACH=full]471344[/ATTACH]
Msito Kantai alienda Tu hivyo
Ktalk members wasiofika bei wapelekwe huko kama boarding for 10months
Mihadarati mbaya!
@Jaweed hukufanya vizuri.
With me I am in a service business, if you want service I offer without questioning its impact on you.
Mathare rehab wing iko fiti kapsaa. It’s just the stigma associated with the name but @ 45k a month I think, same price as Asumbi … it’s relatively decent. Sasa psychotic wing ndo sijui …
But tafadhali kausha hiyo vitu vizuri
Watu hawawezani waachane na mbangi.
I used to smoke then my eyes would develop tunnel vision (literally) alafu I started seeing shadows crossing at the corners of my eyes. Nilikuwa napiga rapid movements na kichwa searching for them shadows…
That was my cue to quit!!!
Mali inakuja kama imekauka. kazi yangu ni kui roll into 1 gram per blunt and 3 grams per gram hiyo ni kolombo. Sasa ukikujia mali, mimi nakupea to
You ain’t a pot head nigga. Better you stopped. Sahizi ungekuwa unasanya use waste pale Korogocho