Kwani bouncer wa club 1824 wamefanya?

Hiyo ya Cops shooting a student because of his dismisive comment is the height of falsehood, I know the guy who made the remark, he is a senior lecturer at the department of social work.

1 Like

Ai mboss babu does something’s for publicity. Eg the 14 million birthday party at some statehouse who would believe such? He spent the day at a children’s home. Learn to differentiate

Talkers ni wale wale tu, usual hypocrisy. Didn’t you see it in that thread yesterday of the guy who blew the whistle on corruption at his employer’s?

So comrade anachunwa na bouncer mnataka kuharibu gari za watu who were not involved in the beef!! Nway, kesho siwezi make kuenda 1824. Lakini Friday nitakuwa hapo. Ambia comrades wakuje Friday ndio watapata gari mingi za kuharibu.

BTW il be @ UON graduation square in November to attend mass ya Pope. Jitayarisheni kuvunja magari mzito mzito vioo.

Some people seem to know everything. Manners maketh man. Kama hukufunzwa adabu na mamako then utafunzwa na ulimwengu. Mimi ukikunya kwa biashara yangu sitangoja makarao, I simply don’t have the time. I deal with you there and then. If you think you can disrespect other people simply because you are a “comrade” then think again. Degree sio kitu siku hizi, being in university is something you impress housegirls with back in the village. In Nairobi even that bodaboda guy could be a graduate, so don’t think you’re special coz you’re in university.
I don’t even see what the big deal is here, hapa sioni kichapo. Hawa ni kupapaswa tu walipapaswa.

2 Likes

Hio day kama sitakua busy kama kesho nitatokea Okiya.

Na wewe @captain obvious kama sio @Deorro na masomo yake ungekua hii kijiji? Ama unadhani IT specialist wa hii kijiji ni mtu wa nduthi? Lanes brathe.

Mimi nilisoma enzi zile masomo yalikuwa yana maana.

Pple defending these students shud find out how these imbiciles behave when drunk and in large groups. I was once at wambugu hotel parklands sm time back. That place huwa inajaa law students frm chiromo campo. I was well off na meza ilikuwa imechafuluwa. This attracted sm uni chix who later joined our meza. Mussuferah wenzao wanaume waliskia uwivu juu they cud only afford one beer as they played pool. Si wakaanza uchokozi. Unaenda choo mtu anakupiga body/ shoulder check. Nika retaliate and asked nini inawasumbua…wawawa. nilipigwa surprise punch knwn as sucker punch ile haujui imetoka wapi. And mwenye alinipiga alikuwa amevaa ring na sio wedding ring but zile ring utumiwa specifically to knock sm1 out. Niliona stars…me n buddies were outnumbered so returning fire was a no no. Ilibidi one of the gals akatoa nduru and said Omosh hio sio poa…walikuwa wanajuana…ati si we broke up kitambo beef ni ya. Nilipigwa first aid kienyeji na maboy cz was bleeding. Drunk one beer and left w/o the gals…waaaa

2 Likes

Huko ndio nilikua naishi nikiwa campo.

:D:D:D:D

Jay Wambugu yote toka bridge ya Thika Road ilikua territory yetu.

Hehe brathe sio lazima mtu aende university ndio aunde website. You keep exposing your ignorance, if that’s even possible. But to answer your question, nikileta upus hapa kwa kijiji hata @Deorro atanichapa equator.

1 Like

mabouncer ni mafala na maboy wa campo wakiwa in a group ni mafala pia,perfect recipe for a ‘nigga momment’

2 Likes

Basi ambia babu owino na tm to respect the constitution and report the matter to police. Wasiende kuchoma gari na biashara za watu.
They don’t have the right to take the law into their own hands

1 Like

Truth be said the so-called comrades wanakuanga na mob psychology sana. But some bouncers pia wakikula steroids do not reason.

So unajua Ray mwenye huuza masuti Parki?

Apana. Nilimaliza campo kitambo na nikahama.

Bouncers are generally assholes, but threatening to burn a muti-million property because of a few employees’ mishaps ni bullshit, a few more of these mf will be shot dead if they attempt to do that and life will go on.

What the guy needs is spend kitu 200k na alishe cops poa wa surround the building. Hao majangili hawatatoboa. Halafu ahire other 100 goons wakupeana support. Those comrades hakuna kitu wanaweza kufanya.

2 Likes

Roid rages.

1 Like