kwa wathii

Hawa kunguru wenu mnashinda mmesifu kila siku na kuset standards za upuzi hii Kanairo ndo wanabargain bei ya bra na panty uko Gikomba.

@ghasiatakataka

It’s really annoying…
Mbona wasinunue bila kukusumbua wakidai uwashukishie bei ya hizo mtumba bra’s and panties?
Wanataka ufe njaa?

Aki si Mimi ni kastama

[ATTACH=full]368134[/ATTACH]
Nilipatana na kunguru club flani leafy burbs, aliponishow nimpitishe kwake(wendani) akachukue nguo za kubadilisha,nilimshow jalopy imechapa na lazima niite makanika kabla ikufe zaidi,aende vile alikam. problem ni vile alikua ananipanga na standards za kishenzi,mara hakulagi food places flani or hanunui nguo mrp or take matatus. Apan tambua ushienz…[SIZE=1] but matako buuuuudaa!!![/SIZE]

@tall mnyama everywhere unauza kwa stall gani iyo nikuje nikupromotie biniz nikubuyie a couple for yourself.

Shetani huvamia wanaume kupitia njia ya “Matako” ya wanawake…

Unaharibu aiseh!!!:D:D

:D:D:D