Ingia kwenye forum hiyo hapo kila kitu kinajadiliwa. Asilimia 90 ya members ni wahindi (waasia), waliobakia ni watu kutoka kwengine. Ila kuna la kujifunza ikiwa lengo lako ni kuishi Canada, best luck
Hayo masharti sasa utafikiri unafanya usaili wa kwenda Mbinguni,njia rahisi pambana uwezavo kama ni mwanaume upate mchuchu wa Kikanada na kama ni mwanamke upate mchururu wa kikanada hizo zingine ni ngumu mpaka basi unaweza ukafika mpaka mwisho ukavuka stage zote unakataliwa mwishoni yaani ni pasua kichwa sana. Yaani wao wanataka muhamiaji uwe na kitu special sana kama pesa, akili, kipaji nk machokoraa hawatoboi ndio maana waafrika magharibi wanaamua kujilipua tuu kwenye boti wakazuiliwe hukohuko kwenye fukwe za mataifa hayo.