Kwa Perfume nzuri za kiume tukutane hapa

Naanza na hii Black Caviar by Paris elysees…

Bei Mkuu?

Creed aventus…hapa ukipishana na mtu lazima akubali,au ukikumbatiwa

DX 7’7 Hii nikitumia watu wengi huniuliza jina lake ili wakanunue ipo vizuri