Kuwachwa kwa mataa

Have you guys ever been asked kama mnataka kutokea lunch na mdosi and you all jumped up na kufuatana hadi kwa hoteli and ordering what you normally dont take alafu mnashangaa boss akilipa bill yake pekee yake, na nyinyi mjisort? Hapo ndio roho huumia unaanza kulia kama mbwata.

Anyway me and a colleague today asked visiting work colleagues if they want to come for dinner, saa hii nimeona bill ya food pekee imekuja 25k. So what does the.black do…? Nimechukua bill nikaenda kwa counter na kutoa yangu na my colleague. Nikalipa na nimeenda sasa. Watajisort vile watajisort!

[Spoiler][ATTACH=full]158962[/ATTACH][/spoiler]

Ama namna gani my fwends!

Thiga
Hebu rudi ulipe na si tafasali!

Mumefeel hako katremmor? Ama ni msisimko wa damu

hii umama uko nayo nilikuambia enda kwa Gyna a confirm kama uko na KUMA kando ya spinal cord .

Thank you for the mbisha. At least I didn’t waste my eyes reading for nothing.

Umeona hio story aje mzito wankle!

Daamn she fine
[ATTACH=full]158971[/ATTACH]

Why you set them up like that, dude? The only reason anyone would want to have hang out with work colleagues is possibility of free food/drinks.

siku moja sparta get invited to this hotel near tusky bandari, inauzanga sea food, uyo jamaa akainisist tuende sparta food na drinks ni free

ok nikasema ni sawa, even started 7.pm
mwenye hotel gave a speech na akatu thank kwa kuja then sasa wakati wa kula ika anza
watu wacha wa anze kukula
food sijawai kula tukameza bila wasi wasi
ma waiter nai mikusumbua unatakaa drink gani uyo sparta nikadai shots nikatee hii mafuta ya sea food. kwanza unaulizwa single or double unasema double
all was well until tuliletewa bill:eek:

kumbe chakula ndio ilikuwa free
bill ilivuka 6k my friend ile embarrassment ilinichapa:mad::(:frowning:
na kusumbua watu na masimu utumiwe mpesa

vitu za sare apana tambua tena

kama hawakujui si ungezama tu chini ya maji , siwezi lipa

What’s the story behind that pic? weka the other half

Sasa mbona uliwauliza kama wanataka dinner? Without receipts, hii story yako ni vako.

Mimi nilienda Naivasha kuangalia vile General Manager wa huko, who reports to me vile anafanya pamoja na team yake. Anyways, since nilikuwa na moyo mkunjufu nikasema I’ll take guys mahali tunaweza kula. Nikauliza GM wapi tunawez enda and we drove tu kachuom fulani huko ka nyama, si you know hizo makuti za small town vile huwa?

Me being the one paying the bill nilishangazwa vile GM alianza kuambia watu to order ni sawa kila kitu imelipiwa it’s like he was the one paying. Kidogo kidogo he’s shouting orders at the waiters kama MCA akifika JKIA.

Bill kufika nikamsukumia kuona kama yeye ni Simba. Jamaa akaniangalia na macho zile za…“I thought wewe ndio unalipa”…

Sipendi upuzi. Nilimwacha hapo ajisort.

Mimi sijasoma hekaya, lakini mbisha…
http://www.reactiongifs.com/r/wsod.gif

am pretty sure kazi iliisha

hio si poa chief , waca watu wakunywe wakukumbuke kama CEO bandia . ngombe wewe

Don’t offer if you can’t pay for it.

Hehehe…GM si ni @wonderful wonder

Kama anaitwa hivyo sioni akilipa. I know two shiny eyes with that name. Hawalipi deni.

Invitation was for two people only…alafu rende ikatokea pia