Kuvaa Nusu Uchi

Katika jamii za Kiafrika hasa Afrika Mashariki kumekua na madai ya kuwa kwa mwanamke kuvaa nguo zinazofunika baadhi tu ya sehemu za mwili wake na kuacha sehemu nyingi zikiwa utupu sio utamaduni wa Kiafrika
Wewe mwanakijiji unasemaje kwa hilo, je ni kweli?

The followings are African girls & women in their African garments.
[ATTACH=full]179133[/ATTACH][ATTACH=full]179135[/ATTACH][ATTACH=full]179134[/ATTACH][ATTACH=full]179137[/ATTACH][ATTACH=full]179136[/ATTACH][ATTACH=full]179138[/ATTACH][ATTACH=full]179140[/ATTACH][ATTACH=full]179141[/ATTACH]

Wanataka wakae uchi kabisa ama wavalie nguo zimefunika kila mahali?

Wakati na masaa ya kuvaa nguo ama vitu za kiutamaduni ndiyo haupo kwa sasa, na kama upo, tuanze kuumaliza huu udigitali.

Ati atia?
:confused:

Uguo niguo kurii

:smiley:

Mmmmhhh

Ndio maana babu zetu mecho ilikuwa imeng’ara, ama vipi?