kuuliza si ujinga

Kwani what kind of country are we living in and WHAT KIND OF PEOPLE ARE WE . Juzi wameuwa Musando in cold blood kenyans cried foul on Twitter and uwesmake.com and other blogs after two days story imeisha .

Ndegwa Muhoro what exactly is his work ? Jamaa kama hawezi solve kesi hata moja anafanya nini hapo . Kama ya mzito haiwezi kuwa solved sasa ya mwizi wa kuku kama @uncle nyam ama ya Malaya kama @Female Perspective ita kuwa solved kweli ? It’s time we went the Arab uprising way . @Mathaais ingia pale kibich usiku na loudspeaker useme Rwnbp na @Jazzman enda pale statehouse na toy gun ushout Uotp tuwafuate mimi ntawakilisha pale kimilili kwa chief ntashout
’ makende ya @Mundu Mulosi wewe chief bukusu jinga ’ then tuanze uprising kama waarabu .

Niko club 64 villagers ako around kuom mumeze gibleys hii nimenunua 3500 kshs

[ATTACH=full]126288[/ATTACH]

4 Likes

Uncle @uwesmake naona hand back hapo kando ya gibleys

4 Likes

:D:D

Enda home sasa to kick shepherd.

4 Likes

jinga

3500 na imeandikwa 2500???

Pole kuuliza si ujinga

2 Likes

Uncle vipi?

1 Like

Boss umerushwa … Clearly hiyo knock off ya India imeandikwa ksh.2500 na undai umebuy ksh.3500. Anko … Umekuwa brand wanakubeba fala

Swafi sqny

VIP area prices ziko hiked

Lazima sungura iimbe kibukusu leo

[ATTACH=full]126290[/ATTACH] ungali hapo langata , unakunywa pesa uliuza haka ka fuko

15 Likes

My deer leo sifiki home lasima nikule momo

…Uncle @uwesmake , Who is ‘wameuwa’ , in the grand scheme of things?

:D:D Mkisii niaje bado wewe ni wetu

3 Likes

Quadrey according to my forensic analysis 'wame ’ ni admin wa Kenya .

2 Likes

…Umesomea forensic?:smiley:

Muhoro is there to protect the thieving, privileged, political class. His job is to ensure that no one rocks the boat so to speak.

Akianza kufanya kazi, naye pia atajipata ndani.

Ile tu ya mtaani na CSI za pale kwa kibanda ya muguka na spies wangu pale nje ya bunge ya city hall

So you as a four star keyboard General what are you doing about it ?

1 Like

:D:D:D, won’t comment, but wembe walisema ndo ule ule

1 Like