Kutuma Fare

Niulize wanakijiji wenye hutumia pubic transport…kutoka Kabarak hadi 047 kichinjio ni 2k ama nagongwa?

Akope umrudishie akifika… utagongwa!! Unless umekula slices before!

That is the wrong way to look at issues… ask yourself if she is worth it…

Tuma fare nanii… Why are you being sensible at the last moment. You weren’t when you promised to send fare. TUMA FARE!

Tuma pesa bana, she also needs to pass by salon ndio akunje. But as above ask yourself if the hole is worth that much…

Wewe tuma tu nabado blue balls tamaliza wewe

Kama umefikiria sana mpaka umeleta hii maneno ktalk, usitume. Wee unaonekana mtu unaweza enda kwake no shoka.

But kama u feel nothing even if you loose the 2k, basi tuma

All is fair when watu wawili wanapotaka kutumiana. Unataka kumtumia vibaya so akitumia vibaya by eating the fare you will send she is just reciprocating. Sioni ubaya ukituma na asije coz kama ni sex u want enda ulipe sex worker akusort instead of paying fare to get free sex. Use the 2k to buy it instead.

Kabarak to town 80
Yogo-hurt, crips, na maji Tusky’s 200
Molo line mpaka city 450
Airtime ya kuuliza ukooo? 100
Insurance for no-show 1000.
2K is reasonable.

Akunje nini?

And even then, she will consume your cash and as she goes back some pocket money, the shot(s) will be worth north of Kshs. 7,000 on the minimum. And she could be an undercover lanye!

Atamkunja akipata slices!!

[ATTACH=full]239610[/ATTACH]

Then upate nii hii dam ndio umeletewa

Do you pay Jumia before they deliver or after delivery?

send the money. 2k is peasant’s money

puthie ni ile ile

Boss hii ni experience

Kabarak to Naks-100
Nissan(Molo Line)-400

I am assuming you stay in Nairobi.

Ni general knowledge:)