Kutoka kiongozi wa malaika hadi kichaa.

Ilisha semwa tangu mwanzo kua mdomo uliponza kichwa,au ulimi ni kiungo kidogo sana ila madhara yake ni makubwa.

Mtu yeyote asie chunga mdomo wake,hata heshimika na yeyote katika jamii take bila kujali cheo chake.

Jiwe alianza kwa tambo nyingi sanaaa,mara yeye hajiribiwi,mara awaite wenzie vilaza,mara aseme ye sio mwanasiasa!!.yote hayo hayakumtosha.

Akaanza kujipa majina sasa,KIONZI WA MALAIKA,JIWE,MZILANKENDE yote hayo hakuridika hatimae leo amesema yeye ni KICHAAA.hivi bado lipo jina lingine ambalo amekisha kujiita zaidi ya hilo la KICHAA?.

Kiongozi asie tambua mahali ,wati na hadhira ya kuzungumzia jambo anafaa kwa lipi sasa?.

Kuna theory kwenye psychology inayoitwa Freudian Slip. Theory hii inaeleza kuwa kuna wakati mtu husema ukweli bila kukusudia. Yeye ni mkichaa kweli ila sidhani kuwa alikusudia kukiri hivyo. Nevertheless he is absolutely correct when he says he is a lunatic.

Wa kuaumiwa ni mafisadi Kikwete na Mkapa ambao waliweka mbele maslahi yao ya kulindwa kwenye maovu badala ya maendeleo ya nchi na kumuokota kichaa na kulazimisha aingizwe Ikulu sasa nchi inapitia kipindi kigumu kuliko vyote tangu Uhuru/Muungano. Sasa huyu kichaa ambaye yeye mwenyewe hajiheshimu, haheshimu taasisi ya Urais ni kwanini Watanzania tumuheshimu huyu Mburula?

Kanuni ni ile ile ili uheshimiwe lazima wewe kwanza ujiheshimuu.

Kabisa Mkuu ni mhuni tu huyu ambaye kaokotwa na mafisadi wenzie Mkapa na Kikwete ili alinde maovu yao mbali ya ufisadi na mikataba hewa au ya kifisadi ambayo imeigharimu nchi mabilioni ya pesa.

Hii nchi kama hatua za haraka za kumwondoa huyu jamaa kutokana na health status yake ya kuwa kichaa…

Siyo Mimi ninayeyatamka hayo maneno, Bali ni yeye mwenyewe aliyekiri kuwa huko kichwani hayupo sawa, basi hii nchi tunaelekea kubaya sanaaa…

Tatizo ni kua hakuna mifumo imara inayoweza kumwajibisha ndo maana anafyatua tuu kila neno atakalo.

Bahati mbaya hata sisi wadanganyika bado tumelala usingizi wa ponooo

kama mkandarasi ni mshenzi basi mie ni mshenzi zaidi yake

Duuuh,hiyo nayo aliisema?

https://scontent.fdar5-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/40752476_297482057728903_50319785300328448_n.jpg?_nc_cat=0&_nc_eui2=AeGGxaNv38vFsRi6d1Bt2e_jYu3MLS5ZHfH-uYtBhmnT7_InirMMeVhHvOBvT0hSU9m9V_c95g6nM7rw7O22xnoxFVdv2chVnerLs4MfSCeCoA&oh=a63ee41b00cdca36c4dfb7330f746b72&oe=5C24E026

Kichaa anamuapisha kichaa

CCM inaendesha siasa za kisenge sana kuwahi kutokea duniani

Jamaa kweli kichaa maana bila kuwa kichaa hawezi kufanya mambo ya kijinga yale

Kabisa Mkuu ndani ya Serikali, Bunge na CCM huyu kichaa anaogopwa kuliko hata wanavyomuogopa Mungu wao vinginevyo wangemshamkabili kuhusu kauli zake za hovyo hovyo na kihuni na pia kumuogopa DAB kupita kiasi. Nchi yetu itaathirika sana kwa huyu kichaa kuendelea kuwepo Ikulu.

kaisema mkoani mara juzi hiyo mkuu

one upvote to you sir!!hehehehe

Halafu vile vile ni jambazi asiye na haya! anakwapua bila huruma. Ile 1,500,000,000,000,000 aliyokwiba. Na siye sijui tuna genes za wapi na hapa tumekwisha! Kichaa halafu Jizi

Halafu yule kichaa mwingine Msekwa anamfananisha huyu mwizi, muongo, fisadi, dikteta, dhalimu na muuaji na Baba wa Taifa.

Hahahaha…

Cc: @Mahondaw