kutoa locko Sacco

@Meria Mata edishen… .

Hapa bamburry…
Ako hapa na gibleys

3 Likes

Jamaa ameniletea Muratina
[ATTACH=full]126437[/ATTACH]

7 Likes

[ATTACH=full]126438[/ATTACH]
Hata Mimi nimeamua ka lunch kadogo tu

4 Likes

Si unapenda Vat

1 Like

Any blended whisky is fine with me but pale works vat = 840 ksh so ukiwa na thao you day is made

2 Likes

Avaii weee[ATTACH=full]126439[/ATTACH]

1 Like

Nimejaribu kila kitu mayai na nyanya, supu ya pilipili, chakula lakini hii hangie imekatalia ndani.

2 Likes

Sambazia me the heineken prizz.

1 Like

Fanta passion baridi, monster ile ya green halafu Niko na “daughter ya ingineer” hapa alipkia ugali saa mbili zote ziko kwa mwili sasa katambe

1 Like

mild hangover sasa ni kupika nyama na pili pili mob dry fry + ugali + avocado washed down with a lot of cold water. That will do

4 Likes

Hehe bado uko Bondo…nateremka vihiga hivo kesho tunaweza kutana kisumu Stan Braddock’s tukule fiss ukipewa heineken

at-least otherwise Kijiji ingekupigia order ya black forest na Ice Cream juu ya hiyo wine hapo.:smiley:

4 Likes

KDF awekwe tu brand ambassador na wewe uwekwe wa Chrome

4 Likes

sema ungemupigia,hapana ingiza sisi kwa mistari yako

1 Like

Anasema sijui akitoka hapa anaenda rally yake sijui iko koma ama kitu Kama hio:D:D:Dikus hapana tambua political affiliations

1 Like

wakanyama umeanza u-jarateng’

3 Likes

SpSpotte @introvert na[ATTACH=full]126440[/ATTACH]

1 Like

:D:D
Too much hair.

3 Likes

Nilitoka Bondo asubuhi…playtime is over.:smiley:
Vihiga? Never been there,maybe that will be my next destination.ahsante.

2 Likes

niaje my fellow jodongo member?