Kushukuru mwili

Wakuu, mwalimu Elgin aliandika ushairi akatuma pale The Weald school, UK. Sasa kitu saa tisa napata kanotifikeshen ati account imepokea kakitu, hata sijafika kejani kuona kajunior kangu kawambui. Naharibu mwili mdogo mdogo hapa Tawa.[ATTACH=full]128393[/ATTACH]

unatuonyesha tusker badala ya smirnoff? . enda kunywa guarana

ama jaribu Zappa

Wapi kisokonywiro

Hicho sitaki bana…kesho kazi msee msee

Birthday ya @Elgin junior ni when?

Situmii chang’aa kijana.

16th of March mkubwa.

TBT
May 28 2015

You said that Umekuwa Weald School UK as a Swahili teacher. Then you asked why all black people work at railways. @Ka-Buda came out with guns blazing and was on your neck .

Hii link
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/uk.4778/page-2

Yours Truly
CSI for free

Replace fegi na njugu boss

Meffi,nilikuwa darasani ama nilikuwa kwa railway station? That was just an observation, which is very true. Ama unataka niupload picha nikiwa darasani huko?

Stop smoking. Nilikuwa club a few days ago catching the Manchester United game against Southampton. Yule mjamaa alikuwa a few seats behind me alikuwa anakohoa ni kama anakufa but smoking and eating miraa. Huyo nikuenda anaenda.

mwalim tupia mimi kakitu ama niendelee kuwithold kamshande kako ka september :wink:

I know am not doing the right thing to my body. Nimezoea tu nikinywa lazima nishike sticks kadhaa. mimi si chain smoker.

Kamshande kashaa ingia…nipe namba inbox nirushe ya bia mbili brasa.

Waa hii ndio kushukuru ama ni kuaribu

[ATTACH=full]128402[/ATTACH]

Naona local imejaa, kweli kamshande kameingia

Hehehe, yenyewe sadfa imenichapa leo naona. Mshandee na pia kakita from Mr Higgins Len.

Inaitwa KINAYA msee…irony I mean.