Kuque kukula dame. How to jump line

Wadau kuna hii mboga tumeletewa fresh kwa kampuni.

Nimeskia sifa zake. Alikua branch tofauti akakulwa kulwa akakua celeb. Sasa ameletwa hii branch yetu ya kangundo road chokaa.

Sasa management watakula 1st. (Mmoja huenda home na yeye kwa toyota wish ya white tunakujua). Then watu wa formal next. Then sisi support staff e.g. dere, cleaners, cooks, solja tuchangamkie.

Question is how do i beat the que bila kupoteza kazi.??

Fat coastal shoga @Kodiaga feel free kuchanga kwa mpesa. Nipeleke dame somewhere nice kama picnic kwa roundabout nimpandishe juu ya :camel: camel na 150 askie visuriii

13 Likes

Anza rumours huko ati huyo mdem huwa na ukedi na ashawai ambukizana kaswende. Uwanja utakuwa wako.

12 Likes

ati unasema nini @Kodiaga

1 Like

Najua watu wa huku.

Line itakua refu kukula kweli kweli.

Kwanza nilitest uyu dame na si tuende out… akauliza “wapi?” Nikajua huyu nitakula

3 Likes

changamka fasta fasta. If you wait, your advances will turn stale and sour.

3 Likes

Village Peasant @Ndovu rudi Kayole Junction ukule vitu zako

7 Likes

Compliment yeye ,mukikutana Kwa corridor , make sure she laughs and is happy you talked, Friday jamaa wa wish ya white ata chapa, sato Nayo hutaweza iyo bill wachanayo. time Sunday afternoon , Budget lunch na ki vodka hivi ya kumaliza hangover ya sato. Hapo unaeza pata shot mbili haraka haraka. One week boss inatosha.

6 Likes

dem akishaonja za wakubwa huyu ninja sidhani atakuwa na bahati. Women always move up

5 Likes

Stik to your lane, wamama wa kitchen

9 Likes

To win a war, you can either strengthen yourself or weaken your competition. Chaguo ni lako.

5 Likes

No wonder. Anyway am not letting another one apite hivo.

U give these chics 4 months ameoleka/ ako na ball

2 Likes

What is a coastal shoga doing in kayole junction. Wewe enda pumzika bamburi beach unone zaidi na mandazi and other fried foods

My advice is ignore her completely. Dont pay any attention to her…and you will thank me later. Some pvssy are not worth it

5 Likes

ile biahsra iko “Kangundo Road, Chokaa”, yenye inaweza kuwa na branch(es) ni MUHINDI MWEUSI SOUP-A-MARKET pekee :green_emoji: :green_emoji:

8 Likes

@Ndovu anakuanga pesant wa Njiru area

3 Likes

Yaani unataka kusalimiana na all your work mates mdau

3 Likes

Hehe true or that second hand clothes outlet, I think it’s called ‘think twice’

1 Like

Ningepost the lady but ingeleta controversy.

Ni yellow yellow.

Akipata mimba ya maboss aoleke ull wish u had the chance to simp visuri

Usikondeshe OP saidi, ashasema yeye ni soja kwa supermarket. Anangonja branch manager wa wish akule, then supervisors, then cashiers( dame mwenyewe ni cashier), ndio sasa OP amngonjee hapo nje juu haingiangi ndani yeye. Sad state of affairs, kama huna pesa unatoa nguvu ya kusweat juu ya msichana ya wenyewe wapi?

7 Likes