KUPIGWA MUTE NA EXIT PALE ODM

Huyu amekanyaga kubwa kubwa,

Baba is building bridges. He doesn’t need hardcore revolutionaries at this moment in time.

If you wanna keep the job, it’s simple, report to work and do as told, and the paychecks will keep on coming.

First casualty of kibra poll.
Ukiona mwanaume akilia hivi inaonekana alikua anakula vizuri.

Baba akishiba he takes no casualties. ODM ni Baba na men in black. Hao wengine ni wapita njia. Ulizeni Magerer Langat knows it better.

:D:D true kwanza hapo kwa ruffling snakes

True…ODM ni baba. Huwezi peleka huko kimbelembele yako. Ukiambiwa pea Musungu certificate hapana uliza maswali

Hapa party nominations ndio Amollo huwa ana-make doh.

True…but if that’s the case si angechukua ya Owalo? owalo is loaded.Mimi naona baba anataka some weakling achukue hii kiti ndio 2022 ikue mteremko kwa daughter wake

We waiting for Sifuna as next victim…

and whats wrong with this Guys, baba ashasema mtoto wake aendee hii kiti na wengine wanataka kupinga yeye.

If ODM nomination was mteremko as you put it. Ken Okoth would never have been MP. He was almost losing that certificate and decamping to Ronald’s, his schoolmate at Starehe, party KNC, for a direct nomination. RAO had to give in because he was told how popular Ken was on the ground.
Siasa ya Kibra is livewire, hapana mchezo.

Hope atakuwa anaona sasa .

MP Aisha Jumwa aliondokea ODM na watu wake wakasimama na yeye. Angekuwa huko sides za Kisumu angejua ODM ni Raila

:D:D:D:D:D:D:D

Hii Kenya kuwa independent thinker ni life risk… but one thing i don’t like about the ODM honchos led by Rao is hypocrisy.
they say one thing and practice another…

No shit.