Kupanda ngazi!

Ok, I started as a “New Villager” then baadaye nikawa “Villager” na sasa naitwa “Senior Villager!” I know the new comers wanashindwa watafika lini hapa nilipofika? Ni bidii bratha…zidi kutoa mchango wa maana, sio kuropoka. @admin…baada ya Senior Villager nitakuwa nini? Cheo kikubwa cha mwisho ni kipi? Na kina mazuri yapi?

1 Like

Mazuri (unaropokwa na maneno pia):smiley:

Thanks, nimerekebisha…sio kuropoka huko, ni kosa la kimaandishi

VILLAGE IDLER

I want to have exclusive rights to fcuk genuine, cute, sexy female talkers…sitaki kufanywa moderator

1 Like

Village ELDERo_O

Enyewe ni kugwan! Kama bado talker kama @This is Gold yuaitwa Senior Villager hadi sasa na vile michango yake ni kibao basi ni kubaya!

Naona @highschooler amefika hapo tayari…

Apparently the only one.

MWENYEWEE NAONA UKO NA MDOMO REFU SANA NA HAKUNA COOMER HATA MOJA UMEPOST,

BUT UKWELI TLG YAFAA AKUWE VILLAGE CHIEF BY NOW

HUYU HIGH SCHOOLER SIJAONA KITU YA MAANA AMEPOST AMA ALINUNULIA MONKEY NDIZI

5 Likes

Highschooler na uwesmakende warudishwe new villagers

mimi ndiye kunyamba huku…

@uwesmoccondu gui wewe nilijoin huku mbele yako kanyagia shonde brathee

haha wee shinda hapo

:D:D:D

watu wengine waache kutafuta bonga points na comment za ovyo…:wink:

3 Likes

Nauza bonga points zangu to new villagers

na mimi bado iko new. aiii!

Hizo honga points enda nunua god of war 10

http://sc.mogicons.com/s/poker-face-24.png