Kunguru wa Randan ameaga

[ATTACH=full]344828[/ATTACH]

Rada na makunguru vuta hizo matenje Usichomange kamenje
Huskii niko mawenge
Unaeza nyonga sana, mkono ianze kumea skwembe
Manze kakiivana sinapigana tu vijembe
Peleka na mtrrrr Peleka na mtaratara
Usiletee hapa machrrr
Makunguru vitu chwarachwara
Mihuteka maprrrr
Makunguru huwanga maprincess Magyala ni wapeng
Hapa kupost wako pintrest

Sijaelewa kitu bro

Ni song - cheza kama wewe

Enyewe nimeanza kuchapa

Miti mingi na watu bado wako nyumbani

Kesha siko job nitalala fofofoooo…

screawplus alete translashen banae
https://media.tenor.com/images/53babc91335aac55fc45889560cb3f97/tenor.gif

Legend holds that hizo ravens zikipotea, the crown of England itaanguka. Kuna beefeater mmoja ameajiriwa kuziclip mabawa ili zisiruke kutoka hio compound

@Wanaruona siri mzuri ya ndoa ni kuosha matako vizuri na gunia na omo ndio ukiingia kitanda bibi yako @kanguthu anakuta umeng’ara. Ni hio tu. Hakunaga siri ingine.

Nazo safari boot pia unaosha vizuri na unaanika hapo juu ya mabati.

Hehe

Nina kitu kambosho nikutolee form cheza kama lewandoski…ghasia shieth naskia alinyoa sai anadoz preps high school

Kijana anakula githeri Bila kusumbua.

Usikubali kuchapa Buda. Kuna siku kijana flani ameniita Mrazi na sikubambika and later had to Google it nikapata inamaanisha fala so I vowed never to let my guard down.
Siku hizi nasikiza Hawa watoto wakiimba to learn more about them and their sheng.

Mtaratara comes from kikuyu word Mutaratara meaning orderly.

Mawenge ni horny.

Vijembe ni the act of reaching the threshold.

Machwarachwara ndio makunguru.