kunguru shiro

[ATTACH=full]344002[/ATTACH]

Hehehe … kuzungushwa kama kikapu ya sadaka. I don’t know why am laughing.

[ATTACH=full]344012[/ATTACH]

Shiro anatype kama Nick…sorry, kama mwanaume? Ama ni wale madem hardcore wa ghetto.

:D:D:D:D:D…kikapu ya sadaka ,that’s hilarious!!!

Vile @Stormtrooper98 amepost

Huyu shiro ana text kama kunguru namezea mate even though amenizungusha kama chapati za kibandaski.:D:D:D

Admin hawa watu wa facebook unawakubalisha kwanini

Kush nguruweste niaje? Umefufuka ama dio umetoka kamiti?

Poa sana mujamaa, nko rada

the script flows too smoothly to be two people… ama they synchronized??

huyo ameongea kama elder wa hii kijiji:D:D:D