So on Thursday tukipiga raundi mtaani na ile mraiya ya kichinjio (si mnajua ile kinchinjio ya Ummoh mahali tumerent keja alafu ukipata kunguru unaenda kuikamulia huko) tukapatana na Gilbert aka Gilly akibuy mboga ya jioni supper. Tukamgotea alafu tukamuuliza form ndo gane anabuy aje supper na akona dem. Dame ya Gilly ndo hushughulikia stuff kudu na keja yeye hutoa tu dooh. So kuona Gilly anabuy supper tukashtuka. Gilly akadai dem yake ameenda ocha family meeting. Dem yake anakuanga ameweza lakini sitakangi kukuwa friendly na yeye sana. Uyo dem hata hatuongeangi.
Iyo siku ikaisha ivo. So jana nikiwa tao kitu ka 8 ya usiku ivi nikaingia clabu flani tu hapo. Nikacheki kwa kona flani kuna dem na chali flani wanapigana mate ile serious. Sikuwangi mtu wa usoro lakini iyo place ndo unaionanga ya kwanza ukiingia entrance juu inakuanga raised kiasi. Nikaenda nikakaa hapo kando juu hapo ndo niliona msee ameamkia kiti na alidai arudi. Nikaitisha drink. Kuletewa drink nikaanza kupiga usoro zangu clabu. Nikamalizia na kuangalia table ya huyo dame na chali walikuwa wanapigana mate. Shiet!! Manzr ilikuwa dame ya Gilly na ndume ingine hapo. At first hakuniona. Nikarudi kuangalia iyo meza tena hapo ndo aliniona. Aliponicheki alishtuka kiasi. Nikaona ametense. Mimi nikasmile nikiendelea kumeza Whiskey yangu. Kiasi nacheki text kwa phone yangu kutoka kwa namba mpya, “Aki pliz usishow Gillian uliniona”.
Nikajua tu automatically ni Purity dem ya Gilly alafu alikuwa anapretend ni kama hakuna kitu imehappen. Alafu walikuwa wameshikana after Purity kunicheki wakaacha kushikana. Wakubwa mnaona aje nichapie Gilly kuhusu hiyo story ama?? Because sooner or later she gonna propose to serve me with her pussy so that I keep quiet…
Hiyo ni noma sana, mhadisie boy wako but sasa kama boy wako ni bonzo atadhani unamkatia kunguru wake hiyo inaweza kuwa situation But kama ni boy wako wa nguvu mshow.
Hata ukiambia beshte yako atadhani tu uko na moshene na wivu. Kanyangia hiyo storo but usikubali kuchukua slices kwa huyo dame. Infact unaweza mkol na umkanye aache kuplay Gilly otherwise akiendelea utaambia Gilly. Lakini some photos ingekusaidia na itusaidie pia kuamini hii storo.
Gilbert and Gillian are not the same person.
Nice hekaya all the same.[ATTACH=full]234509[/ATTACH]
In the picture above you can see three kungurus warming themselves at dawn. Young men beware!!!
najua dem anaweza ku entice na pussy ukanyagie story but usikubali , atakuseti mbayaaaa . just meet Gilbert umwambie ukweli , akikataa wachana na yeye bora umemuambia ukweli