Kuna Maamuzi mengine ni ya Kipumbavu Kabisa

Sijaona umuhimu wa kuifungia JF. Kuna wakati busara zaidi zinahitajika. Kwa hatua hii ya watu kuanza kukimbilia majukwaa ya nje ya nchi ni hatari sana kwa Taifa. Siri nyingi za Taifa zitakuwa wazi kupitia majukwaa na blogs za nje ya nchi ambazo kimsingi Serikali ya Tanzania haiwezi kuzifungia. Nadhani kitakachofuata ni kuzima mitandao ya kijamii ya nje isifanye kazi ndani ya nchi.

We acha tuu. Yaaani watu tunahaha huku na huku.Hatimaye tuko ukimbizini.

Mapambano yanaendelea ukimbizini.

Wakizima tunatumia VPN

Tena nipo tayari hata kutumia VPN ya kulipia

Mamlaka husika iliangalie hili suala kwa umakini, haipendezi kutumia jukwaa la majirani kujadili mambo ya ndani ya nchi. Serikali ya Tanzania imekosea sana.

:D:D:D Hahahahaaa… Umeona eh?..

[ATTACH=full]175783[/ATTACH]

Naaam popote kambi… wacha waendelee kudhani wataishi milele.Dunia kama kijiji sasa hivi… nashangaa kwa nini JF haipatikani kwa VPN au hata wa nje hawaipati?

Magufuli ni mpumbavu mno, haya…huku sasa tuko huru kufunguka kadri tuwezavyo; ni TUWAOMBE NDUGU ZETU WA KENYA MTUACHE TUMTUKANE NA KUMWITA KILA AINA YA JINA TUWEZALO!

Hii ni fedhea tena sana ila mimi naamini mpaka 2020 kitaelewa

kwan lazima mjadili

Huko kwenye dhama ya vyeo hata uunganishe safu yote ya Jiwe hawakalibii uelewa wako, great thinkers wachache ndo wenye kung`amua Haya.

What did we do to deserve this? Mungu tusaidie, tunakua wakimbizi nyumbani kwetu wenyewe?

Wajitafakari

Wewe umekuja huku kufanya nini?

Ni dhambi kubwa kuwatumia kina bibi kama hao kwenye picha kwa kuwa tu wamenyimwa taarifa ili wajitambue. ccm mna laana nyie!