Kumbe....

Kumbe hii mboga haiitwi spinach its called silverbeet or chard or swiss chard
[ATTACH=full]4809[/ATTACH]

Although spinach and silverbeet are members of the same plant family – Amaranthaceae, it is a close relative of of beetroot; they belong to the same species. True spinach has a smaller, flatter leaf and green veins, as opposed to the white veins of silverbeet.
[ATTACH=full]4810[/ATTACH]

Oh, before i forget, while I was away I learnt how to make the tastiest ugali ever. Here goes, after the water boils unaweka unga kidogo unakoroga inakuwa kama uji. Then leave it on low heat for like ten minutes then add more flour and cook the ugali the usual way. I tell you , this would be the tastiest ugali you have ever had. @pamba and @uncle nyam tafutia mimi mluhya mmoja sasa, i’m well armed with my ugali cooking tactics so am sure I can maintain a luhya man. Don’t watch this lady die single.

3 Likes

That’s how I always saw it cooked by mother… kwani kuna njia ingine??

Ya bibi ashana nayo tu…

Yeah kuna njia ingine where you don’t make the porridge first. Unasonga tu maji ikisha boil

Yaani hii story yote ilikuwa ya kutafuta bwana mluhya?

Nimetembea internationally as an IDS but as they say home is always the best. Hata wewe ukisikia mluhya anataka bibi niambie.

4 Likes

:D:D:D

1 Like

thanks @Unicorn for acknowledging our prowess and supremacy as luhya men

2 Likes

@uwesmake wewe iko wapi? Kuja chukua bibi hapa. Wachana na wakuria waliokatwa kinembe na wenye hasira

So…do u have male luhya friends who are single?

Hehehehe @uwesmake hawes kula mifupa

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

Unicorn …thumbs up on cooking the tastiest ugali, if you have ever been to Tanzania they have the whitest maize flour .If you try this
cooking style na hiyo …Wacha tu ;):wink:

All the best na Omundu strong…pia mimi nilikuwa nataka kuolewa huko , bt mwingine alinifanya mambo aki :mad::mad::mad:

1 Like

mimi sio mluhya lakini nataka kujaribu!

Tuko hapå tunangoja , weka story.

Please give us the story…sio fair mtu kama @Davidee kutupea story na wewe umekalia yako tu…You might just get a husband here :wink:

1 Like

Wacha mathice atupee yake kwanza…yangu nilipeana nikiwa na icognito handle huko krost …kama mtu haweskumbuka :frowning: mmh

@Unicorn search no further I have a luhya friend who will forever make you happy. Mujamaa anaitwa @Edundy na mbisha dio hii
[ATTACH=full]4817[/ATTACH]

@Unicorn i am here and i like dem bones with meat…

Suddenly everyone is a luhya.

1 Like

Unataka kujaribu ugali ama kunioa?