kumbe Jamaica ni msoto kama Africa na ati wako majuu

hii ni picha ya maboy jamaica wakicheki ball premier league…sema usoto nayo…mtu anaweza think uku ni githare ama jeri…na hao maboy usifikiri ni watu poa…hao na Mauki family ni rende moja[ATTACH=full]640[/ATTACH]

2 Likes

Hakuna mahali hakuna ghetto hata london.Naona dry fry material hapo nyuma…:wink:

2 Likes

mwenye amevaa skirt ya stripes ana hips c hips…

1 Like

vile jameson amesema

People ought to complete schooling.If you had done your geography classes, you would not be raising such a point.

Weed imekuwa legalized huko finally

The weed revolution is starting, US mambo inaenda vizuri, legalization all over.Soon itakua ni Kenya.

pia mimi nimeona dry fry material uncle

dry fry …

There are two DF candidates in the crowd.