She found out she’s a kiloid former the hard way
Mbona watu wasizoe kukula chakula kiasi tuu ya kuondokea starving? I have been to parties and other functions where food is plenty and you can clearly see the bonoboism at the buffet table. Ulafi kila mahali. Mpaka wengine wanashangaa mbona unakula kidogo na chakula iko mingi. Where you go for a chicken drumstick, a few pieces of choma or pork chops, some salad and a small portion of starch, ombwakni wanajaza sahani mlima wakule mpaka ibaki na bado utawaona kwa line ya dessert.
And the main aim is to extort money from men. Umalaya tu…
Bonobos must do bonobo things
Huyu already Ako na sura ya ndume, why was she involved in welding? Or target ni kina @Nubia
There is so much food that a body needs. Hata hii ukasongo ya kuweka vijiko mbili au zaidi kwa chai inafaa kukoma. The body doesn’t need all that sugar. If you do a controlled experiment you starve for a few hours halafu uende utafute food, utapata kwamba the body needs so little for nourishment.
Hii story ya buffet imenikumbusha time flani, after high school, this guy alikua amemaliza ku kujenga nyumba yake, he was kind of a family friend, so akatuita for a housewarming kind of function ndio keja iombewe and to launch it officially, kulikuwa na outside catering na buffet.

Me being the bonobo I was, nilisimama kwa kila tray ninaweka what was there, and to top it off, nikachukua hadi soda kubwa (500ml, sio pombe). So my aunt akaniangalia very concernigly akaniuliza kama nitamaliza hio food yote. Nikampatia ile look ya “hapa hakuna kazi auntie”.

Now Elder, like you said

A few moments later, nishalemewa na food. I was barely halfway na hadi sijafungua soda yangu kubwa. Yeye by then, alikuwa ashamaliza her rational portion.
Then I uttered the words “Nimeshiba”, na nikaekelea plate chini. Akaniangalia akaniambia hakua food nitatupa. Niliweka yote, namaliza yote.
That day I suffered juu nilijikaza kumaliza hio food kama Kenya Kwanza kutenda akishatenda mabilioni. Self awareness ilinihit, nilirealize I was embarrassing myself, and at that point my aunt had moved several seats away from this bonobo that she is related to. People were giving me some strange looks, kama vile @Maize_Combuster na Elder @Ndindu wanaeza kuangalia ukieza fanya hii ufala around them.
With a lot of difficulty, nikamaliza food, sasa nikaanza soda yangu, you see the bonoboism bado iko, soda sikuwa nimefungua, mbona singerudisha.

The walk home ilikua ndefu sana, kulikuwa na lecture zingine za vile nimemuaibisha, I have wasted food na watu wanakufa njaa, how uncivilised I am, na pia nilikua nimeshiba kama fala hadi kutembea ilikuwa tafash. Hadi alifika place akapanda nduthi akaniambia hata nimemboo nitampata mbele. Na akaniacha nipambane na ujinga yangu.
In my boobo mind, it was a very cruel thing to do juu dio nimemaliza high school hadi sina fare yangu. In my current mind I relised she was very kind to me, mimi ninge ji excuse kwa hio function niache huyo fala hapo.
Anyways, to emphasise bonobos shall do bonobo things. Ilikuwa funzo kwangu.
Now that I am civilised and more cultured, I know better, last year nilikelelesha my cousin kwa event juu alifanya the same thing, why serve more than you can take.
Good Morning elders
Shait
Family of gluttonous fools
Wakameat wewe,
Niaje
Mimi chai huwa na piga ndubia. Buffet ni nyama kiasi starch mchele kijiko moja. Mboga za kienyeji vijiko tatu. Ile kitu naweza kuna na nirudie ni coomer matako ball gum. Hio na fyeka Bila Aibu.
MĂşhaus niaje.
Hehehe all that kufurahisha mwanaume…but women are something else.

