Kulikuanga na team Kawasaki na DFHKM i think ata Team Mafisi ilitokanga huku

Tommy Lee Sparta,Meria Mata,Pamba na kulikuanga na dem mwingine watu walikua wanasemanga ni shemale.maan this was the place

unasumbua

umekua mosa sasa

Sasa weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hehe … naona @GeorginaMakena umekuwa role model kwa hii kijiji. Huyu ni mwengine anatamani kuwa kama wewe

Kush yaani have you been blind, hii chuki mob ni wivu tuu sio kitu ingine am a role model vibaya sana , atleast am adding value in the forum sio kuweka picha za ngono and homo sex styles, kusema kweli , am a role model, hata wewe unafaham, ni vile uwes sema juu lynch mob watakutusi hadi ufe

Taga taga!

kulikuwa na kateyulemweupe. miss her posts

@Lola- @Purr_27 @Supu don @Nefertities @MaryJane @Mrs4thletter @Guru
Who melted your wooden heart huko klost @Bissy ?

Wueh. Unawajua

I was a spectator huko klist.

Waoh… there was Xabi… mumbo…Kingangi…jakenya… half… cutie…linda… they may not have melted my heart but we are and have been good friends since then… Ooh wanderi…

i just loved the place nlikua silent follower but meria mata alifanya nikue interested na FTA stuff and eventually i went ahead to own several sat dish receivers on my roof

that place made me realize my full potential and i am where i am coz i got challenged to do better by villagers who were shining. I have alot of role models in this forum and may God keep them well mpaka admin na pia God asaidie mwovu shetani asiibe servers

Oooh klost
Half Jathe half Kipii aliendapi?

Cc @Halfjadhe Halfkyuk

he is around… not very active here…

Vile nilikuwa nimepropose!