Kuhusu Mobile App...

Kwa sasa KenyaTalk haina mobile app hivyo nawaombeni wakuu,tuendelee kutumia browser mpaka pale app ‘itakapopatikana’

Tuwe wavumilivu,wenye subra pamoja na hekima.

The Tweet.

Hatuna namna zaidi ya kupambana na hali zetu mpaka hapo itakapopatikana

Mbarikiwe aliebuni sie tuhamie huku

Kwa muda usiojulikana

Kenya wapo nyuma sana

Shukrani kwa updates mkuu

Mnashindwaje kutrbgrneza app?

That’s why tumesema tuwe wavumilivu wakuu.

@The Tweet naomba kuuliza huku Ban ni nje nje au tunaserereka na reli? na kama itawezekana naomba njia ya kwenda jukwaa la wakubwa

Ban haziko nje nje ila usizifuate zilipo.

Jukwaa la wakubwa huku halipo.

Sawa Moderator kwa Ufafanuzi

Mod embu fanya maujanja lile jukwaa la wajasirimali wa kweli wazee wa kubeti na kuweka mizigo liweze patikana apa maana world Cup ndo hiyooooooooo tunahitaji kushare na Ku analyse tips

mnashindwa nn kutuwekea tupunguze stress mkuu?

Tutapambana tu haina shida

Bwana mod nataka kutupia uzi wa picha niweke jukwaa gani?

Weka Chit-Chat.

Tutaleta PhotosForum. baadae

The stone akitufurumusha huku, tuhamie wapi?

ITAPATIKANA LINI…AU NDIO YALE MAMBO YA TZ…TUNALISHUGHULIKIA TUPO KWENYE MCHAKATO???

Unabaki na sim yako tu kama toy bila jf kwangu n mtihan alahmdulillah imerudi sema hatuwez kureply wala kukwot wala kjanzisha uz

App meionaa iko pouwaaa