Kuhama

hapana

wengine wetu hatukai slum kama wewe

I agree. Mtu kabla ahame, lazima awe amesettle all bills, otherwise, no deposit. Hio simiti na maYs yako juu sana.

KWA HIVYO PIA WEWE NI KUBAFF. MWINGINE ALIKATALIA 10k YANGU YA DEPOSIT ILINIUMA SANAA

Kwanza single room yangu iko next to choo. So naweza sema niko kwa bedsitter ensuite

huwa mnadhani mjengo huwa inapandwa kama mahindi?ni pesa hutumika na sio kidogo,everything kwa hiyo mjengo ilitoka pesa

ile siku nilihama from nyumba ya mabati, landlord alikataa na 1,500/= deposit yangu, eti ni ya kupaka rangi :mad::frowning:

Ukihama wafaa uache nyumbe in the same state ukiingia,so deposit kabla irudi lazima ikatwe ya rangi n any other damages incured during your tenancy.
or if unaona nakata pesa yako,tafuta fundi atengeze any damages na apake rangi upya.then deposit nakupa in full.

na locks kama nilikuwa nimenunua onion atareplace na za union

Wewe unakaa mali ngumu sana. We unakaa kupimia watu hata maji.

He he, 1,500 ni beer ngapi Taj mall?

Na padlocks kama ni Oriv anareplace na Viro.

What if it in better condition?

Then plot iuzwe the new owner hatambui deposits.

The house will never be renovated the next tenant will be told the dame story yet alipata imechakaa.

Land lord akikatalia deposit weka cement kwa choo na sink…alafu uhame uoshe nyumba poa na umpatie funguo na umpe hugs kadhaa…ukitoka kwa gate uzime simu…na uanguke na kicheko

hii tunyumba twa watu hivi hivi huwa subua sana unakuta wamefanya walls blackboards za watoto wao,each day comes with a new headache

Labda uniulize bei ya keg

Hio nikibanda mboss, nyama kilo ni 600!mimi alishangaa.

ukianza kutoa vitu niko hapo mlangoni ukimaliza tu hivi niko ndani nikitafuta vijisababu za kutorudisha deposit na ukijifanya mjuaji nasema hata hio deposit haitoshi,only a few huwa wanahama wakiwa in good terms na landlord

KUNA TYM TULILIPA LODGING MLOLONGO KUENDA KWA ROOM INANUKA NA CLUB HAPO CHINI MUSIC ILIKUA INA BOOM HADI UWEZI LALA. KURUDI KUITISHA PESA YETU TUKAAMBIWA NI NON REFUNDABLE. MY FRIEND AKANISHOW TUSILALAMIKE TURUDI TU ROOM. KUFIKA ROOM AKANISHOW TU RAPE HIYO ROOM. ILE MANENO TULIFANYIA HIYO ROOM HUNI HAUNT HADI WALEO.
TULI NGARISHA VIATU NA BEDSHIT ZA WHITE ALAFU BESHTE YANGU AKA SHONDE KWA FLOOR. THEN TUKAFUNGA MLANGO NA TUKAENDA NA KEY…