Kuhama

So this momo neiba is confronted by caretaker ati ako bill ya 3000 kwa tokens. Kumbe her meter was spoilt na hakuwa akiweka tokens for some months. sasa caretaker or agent I don’t know who decide to demand the 3000 on 20th but the lady hakuwa na kakitu. she tells them wangoje end month wanakataa and they switch of her power. The following day she wants to vacate caretaker ana kataa na kulock gate. 2 days pass silently but on the third night all hell break loose. Mabois wanastorm Mungiki style beat up caretaker nd the rest is history.
The lady was always very polite and never argued mybe ndio caretaker akambeba ufala kumbe ni silent killer.

Always be very wary of individuals who are always calm or who never argue.

Ile volcanic magma huwa ndani yao huezi amini.

8 Likes

dio hiyo ndio kiboko yao

hiyo rangi ya kibao inakaa tu ya arsenal

mtu akuje kwangu ajaribu hio upuzi aone moto

NA WAKIENDA HAWAKUSAHAU KUMWAMBIA IN A LOUD VOICE `we tutakukata kama mutura’ I THOUGHT HUYO LAZIMA NI WAKAMEAT HEHE

1 Like

he he he,lakini mimi hujua uchungu wa kununua simiti na mawe

1 Like

So, alihama ama alibaki?

wewe unajua uchungu ya kununua simiti?

Huyo dem ni mjinga sana,anathania stima hugeneratiwa na mkojo yake nini?

2 Likes

Mbona caretaker alikataa ahame?i thought hiyo ndio kazi ya deposit.
Stupid nigga wacha achapwe

1 Like

ahame halafu nugu hii umulipie stima?

Maybe

Maybe alikua ashakalia deposit

my point exactly ukiwaambia wana kushow u clear madeni ulafu sijui ukitaka kuhama uandike barua ya notice na alot of bullshit hawataki kurudisha pesa

kazi ya deposit???

wewe unarudishia watu deposit?

Huku pipu ni stima ya kuiba. hatutambui tokens

1 Like

na hiyo illicit inakujia wapi? si afadhari ungeweka picha ya ma-taco ya momo neiba…

1 Like

Eeh. Just wanted to know more about the story.

kupaka rangi