Kufungua agrovet

Who has got experience in opening chemist that deals with animal drugs only?

Could you be talking of veterinary store?

Yes
Do I need a qualified pharmacist license ?

Inaitwa agrovet, agrovet

:D:D:D:D:D…tembelea Kenya veterinary board,upatiwe license.

No. Agrovet ni ile inauza madawa ya wanyama na mimea.
OP anataka kufungua duka ya dawa ya wanyama peke yake…

ile kitu muhimu ni kupata supplier mzuri. biashara ya dawa iko booming sana watu na miifugo wanakunywa dawa kama uji. ata kuku ya 2 days huwa isha anza kupewa dawa.

Only certification from Kenya vet board,…the person ambaye anauza should also be a registered para vet,…certificate holder wa Animal health course,.ukiuza mbegu za ukulima get certification from Kephis,