Ktalk usiku sacco

Nimefika Mombasani vizuri lakini gari kubwa nimewacha Mariakani weighbridge, deree alichukua poko mlolongo na nimespin mpaka voi, sema ma gear kuingia vizuri, @Ka-Buda i envy you
[ATTACH=full]11042[/ATTACH]
this is what kept me going
[ATTACH=full]11043[/ATTACH]
sijawai kula mugoks lakini nimeskia sio mbaya
na audio system, nilidunga flash yangu ya ma reggae hapo nikaskia niko nyumbani
[ATTACH=full]11044[/ATTACH]
the road was unevetfull lakini nilipata hii wide load
[ATTACH=full]11045[/ATTACH]
and sometimes barabara ilikua yetu, lakini omata analia sana
[ATTACH=full]11046[/ATTACH]
kuongea na deree akanielezea about truck cabins
[ATTACH=full]11047[/ATTACH]
chagua yako depending on your load and distance to travel
saa hii na elekea mundeke, hope wanknanyama aka @Wakanyama hayuko huko, Nairobi naja tena December

9 Likes

jeans imeparara ya machokosh

hio ni uniform ya road trip

1 Like

heheheh @Jirani si unakuanga hater boss.

4 Likes

@Meria Mata The last time nilikula hizo matawi, i sat on the toilet bowl from 2hours. Sijai asha turbo hivo.

6 Likes

wacha kunistua boss

Usiwahi panic, kina mayeks live on them. Nilikua nabuy miti Kongowea, natema Nairobi ama Mlolongo natema Mtwapa. Hio barabara yote solo bora nina mix kali. By the time nafika destination nimejenga flats kadhaa miami na nina private jets na yatch.

5 Likes

have fun lakini chungana na alshabab na alshababes (pokos)… they might derail you from your plans

Buda boss nakuona.bado nasukumana na giza safi.

wazi boss

wazi boss

chances are you are about to exprience some constipation(kumirwo) but soap or whatever laxative you might prefer might come in handy

1 Like

Ukitaka kuwazubaisha na kuwastua akina yahe,usiite wide load,iite OOG…Out Of Gauge Load. Watashindwa unaongea lugha gani.

Moving on,I miss those,Nairobi Mombasa trips ndani ya prime movers. Inakuwanga raha tupu but dangerous as hell. But what fun is it if there is no element of danger/risk?

1 Like

hahathe only time nilikula hizi matawi nilikua nalewa pia, and I started swallowing them, niliumia the next day

1 Like

Karibu @swallow. Mayeks saliva is evergreen.

1 Like

someone with such a stunning body (ooh God forgive my thoughts) should not be chewing on those things…kai wi mburi?

1 Like

Pure fuckery…umeona wapi “stunning body” yake… weka mbisha

1 Like

ask @Nefertities or @Unicorn …meriaring mata still

he’s a hater. even if you showed him the pics, he would still talk shit!

That road gets boring after a few hours. Good to see you had fun.