Hako kagari kalitumiwa kubeba TV ya wenye we.
Hata ingawa picha zenyewe zilichukuliwa na pin hole camera natumai Kuna wengine wetu ambao wamekula madini ya kuwezesha macho kuona vizuri saana. Na kama macho hayaoni basi akina @pamba na @snapdragon wanazo programu zinazoweza kutusomea namba sajili ya Gari hili
Kazi kwenu [ATTACH=full]84444[/ATTACH] [ATTACH=full]84437[/ATTACH]
Ni #$/@€&$*₩
Gari ndio yako ama ni TV?
Kama Tv ilikuwa Greatwall ya 3D hiyo ni X6 ya elder fulani…
KBT 226J ama KBZ 226J…fanya search ya hizo gari mbili
Nimetumia programu mzito ikaleta ivi[ATTACH=full]84448[/ATTACH]
The lack of proper physical planning in some areas just makes me wonder…hio road ni 3meters ama? and the service utilities are included there in.
Minangojea relaunch ya Nokia 3310 nitupe hii NOKLA 33310.
Am 67% drunk don’t count on me:D
Rongai kuna roads gari mbili haziwezi pitana
Hapa ni Rongai, hii Gari ni Nissan note ama?
Saa zingine unakuwanga na sense
Hio hata ukipata ujue ni car hire na birrionares chungeni Sundays ,hio ni dedicated day ya housebreakers.
Kenyans are thieves, akina kaburas wakiiba billions, wengine wanaiba tuspace kwa plot.
Hiyo gari ni ya peasant, CSI services zangu are worth more. But inaisha na 2J. Registered under Anthony M***
Umeconfirm model?
Anika info yote hapa. Hapana hurumia mwizi.
I dread stories like this, a friend of mine alibebewa almost kila kitu kwa nyumba if I would catch such a thief kwangu I would tie him up and torture him for hours
That vehicle was used by thieves who broke onto a deserted residential houses in broad daylight when they knew the owners had gone to work. While carting away a lcd screen one guy saw them and managed to get a not so clear shot.
So any information on this vehicle is the key to this puzzle